Taifa stars - Ipo juuuuuuuuuuuuuuu


Jamani watanzania wenzangu tuiombee kheri timu yetu ya taifa katika mchezo wake wa jumamosi na Cameroon. Tuwe na uzalendo wa khari ya juu, nimeona baadhi ya watu wakina wanaongea mitaani kuwa wao wataenda kwa ajili ya kuwaona wachezaji wa cameroon wanaochezea ulaya na pia watachangilia timu hiyo. nikajiuliza ni lini watanzania tutapenda chetu? amka tanzania tuwe wazalendo.

No comments: