Tohara kwa Wanaume

Hospital ya WIlaya ya Iringa kwa kushirikiana na shirika la Jhpiego wanatoa huduma ya tohara kwa wanaume bure bila ya malipo yoyote. inaaminika kuwa asilimia kubwa ya wanaume wa mkoa wa Iringa hawajatahiri hii ni kutokana na mazingira ( Imani). Kutokana na utafiti uliofanya inaonyesha kuwa wanaume wasio tahiri wako katika risk kubwa ya kuambukizwa ukimwi kuliko wasio tahiri.

Jamani wenye ndugu na familia please wapelekeni wapendwa wenu. Huduma ni bure kabisa

No comments: