mshiriki wa big brother africa II toka zimbabwe, bertha zakeyo, akiwa na mwenyeji wake dennis ssebo kwenye ofisi za daily news na habarileo walikotembelea leo. ssebo ni mwandaaji wa miss dar city centre inayofanyika kesho ukumbi wa cine club kuanzia saa mbili usiku aambapo warembo 10 watachuana kuwania taji hilo pamoja na tiketi ya kushiriki miss ilala. burudani itatolewa na sweet kid toka kampala ambaye anatua leo saa kumi na moja na nakaaya sumary.
No comments:
Post a Comment