Huyu kaka Lalo kupenda wasichana na kuwatumia na kisha kuwadump ndicho kilichomfanya abadiliswe jinsia yake toka mwanaume kwenda mwanamke. alimpata mwanadada akajua ndo wale wale wa kuchezewa.
Najua Lalola imekuja kutoa onyo kwa vijana wakwale wanaopenda kubadilisha mwanawake na kuwatumia kwa starehe zao.
1 comment:
CLICK HAPA kutoa maoni kuhusu ulichojifunza toka tamthilia ya Lalola
Post a Comment